Wanaume wanunua machangudoa sasa kutiwa mbaroni
Tangazo rasmi sasa limetolewa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kuwa kwa wale wanawake wanaejiuza na wanaume wanae wanunua sasa kuanza kukamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria.
Nini maoni yako kuhusu hii sheria mpya???