Refa wa Kitanzania ateuliwa na FIFA kuchezesha Kombe la Dunia
byAdmin-
0
#MICHEZO Mwamuzi Mtanzania Jonesia Rukyaa Kabakama ameteuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kuchezesha fainali za Kombe la Dunia kwa wanawake (Algarve Cup) zitakazofanyika nchini Ureno, Februari, 2018.