Mtoto aliyeokotwa na Mbwa na kisha kulelewa na Watu baki



Huyu mtoto alitupwa na wazazi wake then huyo mbwa akamuokota akampeleka nyumbani wamiliki wa hyo mbwa wakamlea na hadi sasahiv anaendelea vizur kama unavyomuona
Please tumia dakika yako moja kushare hii utabarikiwa
Please share na wengine wajifunze

Tembelea Busati Ujifunze zaidi kwa visa na mikasa..

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post