Mdada afumaniwa Gesti na Mume wa mtu

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wadada kutembea na wanaume za watu, hivi majuzi maeneo ya Kimara mwisho, kuna mdada alifumaniwa na mume wa mtu na anachokijua ni yeye na Mungu wake ila tubadilike tabia magonjwa ni mengi jamani.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post