Mbunge wa Songea Afariki dunia

TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Bw. Leonidas Gama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo ktk Hospitali ya Peramiho, Songea

> Amewahi kuwa Mkuu wa wilaya za Muheza, Nachingwea, Newala, Mbeya na Ilala na Mkuu wa mkoa Kilimanjaro

Soma | https://t.co/ZeAKjcuRHh
#JFLeo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post