Breaking News: Mbunge wa Songea (CCM) afariki dunia

Mbunge wa jimbo la songea mjini kwa tiketi ya CCM  Mh Gama afariki dunia katika hospitali ya mission ya PERAMIHO iliyopo mkoani Ruvuma usiku wa saa saba kuamkia leo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post