Hizi ni picha zikiwaonyesha Wazazi wa Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” wakitoka Mahamani baada ya Mwigizaji huyo kuhukumiwa miaka miwili jela kutokana na kesi iliyokua ikimkabili ya kuua bila kukusudia na kusababisha kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba.
FULL VIDEO: HALI ILIVYOKUA MAHAKAMANI BAADA YA LULU KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA
VIDEO: LULU MAHAKAMANI KABLA YA KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI LEO
Tags
kitaifa