Kuvuta hewa Nchini India ni sawa na kuvuta sigara 4O kwa siku

#CNN Utafiti mpya unasema kupumua HEWA ya kawaida DELHI nchini INDIA ni kama kuvuta SIGARA 44 kwa SIKU MOJA , Serikali imeanza kuchukua hatua kwa kupunguza wingi wa magari barabarani, Delhi ina magari milioni 9, Raia Milioni 2O.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post