Kauli tata za Rais Magufuli

Rais Magufuli: Watu wanasema Serikali inakopakopa sana. Tajiri yeyote lazima akope na ukishakopa maana yake unaheshimika. Mtu ambaye hawezi kukopesheka ina maana haaminiki! Kukopa na kuwa na madeni si dhambi
(Akiongea kuhusiana na kupanda kwa Deni la Taifa)
#JFLeo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post