Facebook waanza kuzuia picha za UCHI

Mtandao wa Facebook upo kwenye majaribio ya kudhibiti picha za utupu ambazo hurushwa mtandaoni kama kisasi (revenge porn)
> Wanaohisi kuna picha zao zimevuja, wametakiwa kuwatumia Facebook picha zao nyingine za utupu ili zioanishwe kufanikisha zoezi
#JFLeo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post