Deni la taifa limeongezeka salimia 17%

Serikali kupitia Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango imesema Deni la Taifa limeongezeka kwa asilimia 17 kutoka Dola za Kimarekani Bilioni 22 Juni 2016 hadi Dola Bilioni 26 Juni 2017
#JFLeo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post