Dk Dalia Mogahed mshauri wa raisi Obama Marekani..
Wanahabari walimuuliza wakiishangaa hijabu yake, kuwa sio vazi la wasomi na ni kutojielewa..
Akawajibu kuwa..
Wanadamu hapo zamani walikuwa ni mfano wa mtu aliye uchi, kisha baada ya kukua kifikra wakavaa nguo, na hii hijabu ninayoivaa ni kilele cha fikra waliyoifikia wanadamu na wala sio kutojielewa..
Ama kukaa uchi huko ndiko kutojielewa na kurudi nyuma kule tulikotokea..
Na lau ingelikuwa kukaa uchi ndio maendeleo basi wangelikuwa wanyama ndio walioendelea zaidi.
Kama upo pamoja na Dk. Dalia comment neno "Pamoja"
Tags
Kimataifa