Mauaji ya kutisha usiku wa kuamkia leo toka KIBITI Mkoani Pwani




Kutoka Kibiti Mkoa wa Pwani, inasemekana kuwa aliyekuwa Mtendaji wa kata ya Magwi na mwenyekiti wa kijiji cha Maswi huko KIBITI mkoani pwani wameuwawa usiku wa kuamkia leo na kisha nyumba zao kuchomwa moto.
Chanzo: #ZittoKabwe Twitter page.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post