Baada ya hali kuendelea kuwa tata na hifu kubwa kujaa kwa Wananchi wa Mkoa wa Peani hasa katika maeneo ya Kibiti na Mkuranga na huko Rufiji kufuatia na mauaji yanayoendela kila kukicha katika eneo hilo, hatua ambayo imepelekea kupelekwa kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ili kurudisha amani katika maeneo ya Rufiji Mkoani Pwani , kwani eneo hilo limekuwa tishio kubwa kwa kila Raia wa eneo hilo.
Tags
Usalama