Uhalifu wa kimtandao ( Cyber crimes ) RUSSIA

Police wa Urusi wamesema kuwa wamewakata na kuwashikilia watu 20 kutokana na kukamatwa katika makosa ya udukuzi wa kimtandao ( Hackers) watu hao, wanashikiliwa kwa kosa la kuiba katika mabenki ya nchi hiyo zaidi ya Dola million 56 ( $56 M) kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post