Home MUME wa Zamani wa Zari ni Mgonjwa..Zari Amtembelea Hospitalini byAdmin -22 May 0 MUME wa Zamani wa Zari ni Mgonjwa..Zari Amtembelea Hospitalini Zari Hassan Taarifa zilizonifikia ni kuwa aliyekuwa mume wa Zari Ivan amelazwa Hospital ini siku kadhaa sasa zimepita... Tuzidi kumuombea Ivan apone haraka....Pichani kushoto ni Zari Hassan akimjulia hali baba watoto wake... . . Get well soon Ivan Facebook Twitter