Mtoto wa Samweli Sitta Afariki Hospital

Aliyekuwa Meya wa Urambo, na mtoto wa aliyekuwa  spika wa bunge  LA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Peter Sitta, amefariki mapema Leo. Katika hospital huko alipokuwa akitibiwa Urambo.

#Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post