Haji Manara wa Simba anena juu ya Yanga kutwaa Ubigwa

Kauli ya Haji S. Manara baada ya Young Africans Sports Club kuutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara hapo jana.

"Unadhani FIFA wana figisu? kadi 3 za njano ni kukosa game inayofuata tu, mjiandae kulileta kombe kwa magoti".

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post