Breaking News: Magufuli amteua Kamanda Siro kuwa IGP

Rais wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. JP.Magufuli amemteua Kamanda wa polisi wa Kanda maalumu ya Dar es salaam Ndg Simon Siro kuwa Kamishna mkuu wa Polisi IGP , akiichukua nafasi ya IGP Ernest Mangu ambaye atapangiwa nafasi nyingine hapo baadae.

Source #JF

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post