Breaking News : Jonas Mkude wa Simba apata ajali mbaya akitokea mkoani Morogoro kuja Dar

Breaking news kiungo wa simba Jonas mkude amepata ajari mbaya maeneo ya mtibora dumila mkoani morogoro na kaumia sana maeneo ya shingo na maeneo ya mwili mzima akiwa anakuja kuwai kujiunga na national team.ushabik pemben mm shabik wa dar young African ila namuombea apone haraka.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post