PICHA: Miquissone Atua Al Ahly Rasmi...Ndoto za Shaffih na Yanga Kwaheri

 

MABINGWA wa Afrika, Al Ahly kutoka Misri wamemtambulisha mchezaji wa kimataifa wa Msumbuji Luis Miquissone ambaye wamemsajili kutoka klabu ya Simba.

Ahly wamekamilisha dili hilo baada ya Miquissone baada ya mchezaji huyo kuisaidia Simba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara na kufanikiwa kuifikisha Simba hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post