IMEELEZWA kuwa Kaimu Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho.
Kamwaga alichukua mikoba ya aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ambaye alichimba kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na uongozi.
Alipotafutwa Kaimu Ofisa Habari wa timu hiyo Kamwaga kwa njia ya simu hakuweza kupokea hivyo jitihada bado zinaendelea.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Kamwaga ameandika kuwa ameshangazwa na taarifa hizo ambazo hazina ukweli.
Tags
Michezo