Jose Chameleone mahututi alazwa hospitali kwa tatizo hili
byAdmin-
0
Staa mkubwa wa muziki barani Afrika anayetokea nchini Uganda Joseph Mayanja alimaarufu Jose Chameleone mwenye umri wa miaka 42 ameelezwa kulazwa hospitalini akisumbuliwa na tatizo la Ini na Kongosho.