BANDA AINGIA ANGA ZA WANAOLIPWA MKWANJA MREFU BONGO

 


 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Peter Banda anaigia kwenye rekodi ya nyota wanaokomba mshahara mrefu kwa mwezi kwa wachezaji.

Bei yake inatajwa kuwa kwa mwezi anavuta shilingi dola 5000 zaidi ya shilingi milioni 11.

Huyo ni ingizo jipya kutoka Big Bullets ya Malawi awali alikuwa anatajwa kuingia anga za Yanga ila ghafla mambo yalibadilika akaibukia ndani ya Simba.

Ni miongoni mwa nyota wapya ambao wamejumuika na Simba kwenye msafara ulioelekea nchini Morocco kwa ajili ya kambi ya msimu mpya wa 2021/22.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post