Mange Kimambi "Ray Vanny Lazima Achukuliwe Hatua, Kajala Muombe Msamaha Hamisa Mobetto, Umemkosea Mno"

 


Aliichoongea Harmo, although kaongea kwa beef zao ila its 100% correct. Ni lazma Rayvanny achukuliwe hatua.

Hizi kiki lazma ziwe na mwisho wake. Vile video zimemdhalilisha mno yule mtoto kwa kiasi flani zimemwaribia future yake Ray Vanny kwa mikono yake alipost video kwenye insta yake, mpaka hapo sheria za mitandao tu zinamtia hatiani.

Paula ni mwanafunzi , ni lazma RayVanny achukuliwe hatua. Hakuwa na haja ya kuachia zile video sababu ya ushindani wa kipuuzi na Harmonize.

Toka jana tunalaumiana sisi wanawake tu ila muhusika mkuu tunamwacha. Aliemuingizia mtoto du** na kuposti video ni Rayvanny, huyu ndo wa kulaumiwa # one.

Tukiachana na RayVanny @kajalafrida Acha upumbavu wa kumtupia lawana Hamisa. That was the most stupid defense I have ever seen. Yani hakuna mahala ulipojilaumu wewe kama mzazi wa Paula lawama zote umempa Hamisa, kitu ambacho ni uwongo mtupu. Zile video alizoachia Vanny sio mapenzi ya siku moja yale, ni mapenzi ya muda. Leo hii binti yangu Bhoke akipatwa na janga nomatter alikuwa na nani au wapi, nitajilaumu mimi mama yake na Baba yake tu. Sisi ndo wenye dhamana ya kumlinda sio mtu mwingine. Embu take responsibility Kajala. Mbaya kati ya vyote unamchafua Hamisa kwa uwongo ili ujiokoe wewe. That was really bad, you really disappointed me kumsingizia Misa ili watu wakuone wewe victim waache kukulaumu. Kajala inabidi umuombe Misa msamaha, umemkosea mnoo, tena msamaha uwe public.

Conclusion ni kwamba wananchi acheni kulaumu wanawake kwenye hii issue la sivyo wanaume wataendelea kuwadhalilisha mabinti zetu sababu hakuna wanachofanywa. It doesn’t matter malezi gani Kajala alimpa mwanae, kuna watoto geti kali kinoma na wanabeba mimba. What matters here ni huyu mtu mzima mwenye familia yake kum...* mwanafunzi then akarusha video kwa nia ya kuijulisha jamii kuwa anamla huyo mtoto, huo ni unyanyasaji wa kijinsia. Mpaka nyimbo kamtungia mtoto mdogo bila aibu. Lazma serikali imchukulie hatua RayVanny ili iwe fundisho kwa wanaume wenye tabia kama zake.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post