Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.
Utapata ammani moyoni
·Utaepukana na magonjwa
· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka
·Utajimini zaidi
Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)
· Utafurahia tendo la ndoa zaidi (Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
·mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
·Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako
Tags
MAHUSIANO