Nimepanga nyumba ambayo tunaishi pamoja na mother house ,huyu maza ni mtu mzima tu around 60+,anaishi na mabinti zake ambao ni warembo kama yeye, huyu maza tunaheshimiana sana.
Sasa among wapangaji wake walio single na mdogo kuliko wote ni mimi as wapangaji wenzangu wote wako 40+ na wako na familia zao,ametokea kuelewana sana na mimi kias kwamba ananitreat kama mwanae.
Changamoto iliyopo ni kwamba kila akiona nimeingiza totoz ghetto ananinunia..nashindwa kumuelewa.
So wakuu nifanyaje au nihame hapa?
Tags
Udaku