UKIONA WANASHANGILIA SANA BAADA YA KUMVISHA PETE, JUA UMEPEWA BOMUU


Hii imetokea kwa mmoja wa ndugu yangu aisee...siku ya kwenda kumvisha pete mchumba wake watu walishangilia sana upande wa mwanamke,kumbe kule kushangilia wanafurahi bomu la atomic linawatoka litaenda kulipukia kaya nyingine...

Na kweli bana lile bomu halijachukua mda mrefu limeanza kutoa cheche ambazo zina chemikali kalii haziwezi kumwacha mtu salama,na soon linaenda kulipuka na kuondoka na maisha ya viumbe kadhaa...

Kwenye hyo shughuli siku hiyo kuna jamaa alinifuata akanimbia huyo muowaji ana roho ya iddi amin nikamjibu acha majungu, kumbe kuna ka msg alikua anakaleta bana

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post