Nina Date Nae Wiki ya PILI Sasa ..."Ananiuliza Nina Mpango Gani wa Ndoa"


Habari ya mwaka ndugu,naam kama ilivyo ada tena kwa mara nyingi ni true story
Kuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,tangia nimemjua kwa ukaribu its about mwezi na nusu ,jana ameanza kubadilika tofauti na alivyokua mwanzo,baada ya kumuulizia (just inquisitive) sana amekuja na swali Nina mpango gani na yeye?
Kiukweli hii issue imeniacha mdomo wazi imenistua honestly two weeks?hata sijamjua kiundani,nikafanya categorisation zangu ananiuliza nina mpango naye gani?
Kwa utafiti nilioufanya haraka haraka nimeshtukia kuwa rafiki zake wengi wameolewa na mara kadhaa ndani ya mwezi mmoja na nusu niliojuana naye amewahi kuniaga anaenda send off,na wedding party kadhaa

Swali sasa kwa wanaukumbi walioa au ma single pia, hivi ndani ya week mbili tatu unaweza kuweka promise ya ku engage au oa?Au ndo dunia ya digitali

Hapa nazungumza baada ya kubanwa sana nina mpango gani niliahidi RING ENGAGEMENT ambayo tarehe wala mwezi sijaweka clear kwa sababu machale yamenicheza huyu mtu anaji pretend na anatafuta pa ku fulfill marriage ambition yake(hii ndo tafsiri yangu) so far mambo kama haya ndo yanatunga mimba na kuzaa mauti ndani ya ndoa baadae na moyo wangu hauko radhi kabisa

Naomba kuwasilisha,mnipe mawazo ,experience ,knowledges zenu nanyi wana board huenda nami pia nimekosea
Tiririka

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post