Msanii Davido akamatwa na Jeshi la Polisi

Msanii Kutoka Nigeria, ameingia matatani baada ya Ugomvi uliopelekea shabiki aliyekuwa akimsumbua kupigwa na chupa kichwani.

Tukio hilo la fujo lilitokea Dubai ambapo Davido alikuwa akifanya show kwenye Tamasha la ONE AFRICA MUSIC FESTIVAL.

Inasemekana kuwa baada ya show, Davido alishuka jukwaani ndipo akakutana na shabiki aliyekuwa akilazimisha akutane Naye. Baada ya shabiki huyo kuzuiliwa alikasirika na kuamua kumpiga shabiki Mwingine na chupa kichwani.

Baada ya tukio hilo Davido alijitahidi kutoweka hilo lakini askari walifanikiwa kumkamata na kumtia ndani kusubiri uchunguzi zaidi

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post