AMUNIKE ATIMULIWA TAIFA STARS

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars”, Emmanuel Amunike wafikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yao

TFF imesema itatangaza Kocha wa muda atakayekiongoza Kikosi cha Timu ya Taifa kwa mechi za CHAN



Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post