SIMBA NA YANGA ZAPANGWA KUNDI MOJA KOMBE LA KAGAME

Simba na Yanga Zimepangwa Kundi Moja Michuano ya Kombe la Kagame
Klabu mbili mahasimu kutoka Tanzania, Simba na Yanga zimepangwa kundi moja kwenye michuano ya Kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni 28 hadi Julai 13, 2018 .

Timu hizo zimepangwa kundi C ambapo zimeungana na klabu nyingine za St. George kutoka Ethiopia na Dakadaha Somalia.

Makundi hayo ya michuano ya Kagame Cup yametangazwa leo na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na makundi mengine ni kama ifuatavyo hapa chini.

Michuano hiyo kwa mwaka huu inafanyika hapa nchini na itarushwa mubashara na Azam TV. 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post