RIDHIWAN KIKWETE AFUNGUKA HAYA KUHUSU KUWA BOSS MPYA WA YANGA SC

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. @ridhiwankikwete ametangaza kuwekeza kwenye Klabu ya soka ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga) endapo timu hiyo itafanya mabadiliko ya uendeshaji wa klabu kutoka mfumo wa sasa na kuanzisha mfumo wa ununuzi wa hisa.

CREDIT: DARMPYABLOGUPDATES

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post