BREAKING NEWS: MWANAMZIKI SAM WA UKWELI AFARIKI DUNIA


BREAKING: Sam wa Ukweli afariki, chanzo? ‘UKIMWI wa kulogwa’?

Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo na amesema Sam alikuwa akiumwa na walipomuuliza alisema ni UKIMWI wa kulogwa.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post