PICHA 12: Atletico Madrid walivyowasili Hispania na Kombe la Europa


Mabingwa wa michuano ya UEFA Europa League club ya Atletico Madrid May 18 imewasili salama jijini Madrid nchini Hispania ikiwa na kombe lake la Ubingwa wa michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2017/2018.
Atletico Madrid ambao wamewasili leo na kufanikiwa kupata mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki wao, walifanikiwa kutwaa taji hilo mjini Lyon Ufaransa kwa kuifunga club ya Olympique Marseille ya Ufaransa kwa magoli 3-0.





Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post