PICHA 7: RC Gambo alivyoanza kufundisha shule Msingi Mkonoo


Katika mpango wa kuboresha Elimu Mkoani Arusha wadau wa elimu wamekubaliana kufundisha masomo ya Sayansi kwa kujitolea kama sehemu ya kukabiliana na upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi.

Leo April 9, 2018 Nimekusogezea picha zinazomuonyesha  Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ambapo ameanza kufundisha shule ya Msingi Mkonoo wanafunzi wa Darasa la 7. 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post