Jifunze namna ya kusoma Chats za Whatsapp za mwenzako bila yeye kujua


Fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download
app iitwayo
WhatsappWeb
2. Install katika simu yako
3. Ifungue hiyo program
na utakutana na kitu kimeandikwa
USE whatsapp on your phone to scan the code

4. kisha chukua simu lengwa(hapa panaweza kuwa pagumu kidogo kama huna access nayo basi hauta faniksha zoezi hili ila fanya uwezavyo kuipata)
5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisha angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu

6. bonyeza hapo utakutana na maandishi
whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehem ya ku scan code(kama umewahi pita supermarket utajua hili.

7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uifungue itakuletea hiyo code iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi
automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.


ukifanikisha utaweza kufanya ya fuatayo bila yeye kujua

a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k

kifupi utakuwa umeimiliki whatsapp yake bila yeye kujua

PIA KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.

Bofya hapa chini kupakua video itakayokuelekeza 



Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post