Cheki hii kutoka kw Shilole akijaribu kuimba Kihindi


Cheki hii kutoka kwa Shilole akijaribu kuimba Kihindi

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shiloleametafsrika kuwa ni mtu wa vichekesho na wengi kumuita comedian kutokana na vituko vingi ambavyo huwa anavifanya katika Television na hata kwenye mitandao ya kijamii na mara nyingi akizungumza lugha yaKingereza.

Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost video clip fupi ambayo ikimuonyesha akijaribu kuimba kwa lugha yaKihindi na kuwauliza mashabiki kama ameweza ili aweke kipande hicho kidogo katika ngoma yake mpya na wengi kuchukulia kitu hiki kama comedy kutoka kwa Shilole

Cheki hapa chini Shilole akiimba kwa Kihindi

BongoComedy: Wafunguka kuhusu clip yao iliyo-trend mitandaoni

 

 

 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post