TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Afariki Dunia

Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo.

Tupo hapa na masikitiko makubwa.

Poleni sana sana wafiwa na kijana wake Kinje (Mama yake alifariki 4/1/2018 na Baba yake leo)

May his soul Rest in Eternal Peace. 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post