HomeAfya Madhara ya Msongo wa Mawazo (STRESS) byAdmin -27 February 0 Msongo wa mawazo, mkazo wa maisha na wasiwasi wa muda mrefu husababisha matatizo mbalimbali kiafya hasa maumivu ya kichwa, shinikizo la damu na magonjwa ya moyo. #AfyaYaAkili Tags Afya Facebook Twitter