Recho Aangua Kilio Hadharani Kisa Kubwanwa Ishu ya Kutumia Madawa ya Kulevya


Msanii Bongo fleva ambaye alitamba na nyimbo kali,zilizotikisa Jiji kama Upepo,Mwali Kigego na kizunguzungu,amefunguka yakuwa maisha yake yalipotea baada ya kujiiingiza katika skendo ya matumizi ya Dawa za kulevya.

Msanii huyo amefunguka na kusema muziki ni kazi ambayo ilikuwa ikimuingizia pesa za kuendesha maisha yake yeye na familia kiujumla lakini tangu alipojiingiza katika matumizi ya Dawa za kulevya basi kila kitu kiliaribika kwa upande wake,kiasi kwamba kufikia kutengwa na jamii kwa muonekano wake dhaifu.

Kwasasa Recho ameamuamua kurudi katika gemu la muziki huo na amehaidi kufanya vitu vikubwa na vizuri ambavyo Mashabiki wake walivimisi kwa muda mrefu,Hivyo amefanaya nyimbo ambayo itaenda kumtambuli ambayo ameshilikishwa na Msanii mwezake wa kike anayetambulika kwa ajina la Linah.

Tazama Video:

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post