KUTOKA ETHIOPIA: Rais Kagame wa #Rwanda leo rasmi amekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) nafasi atakayoikalia kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Amekabidhiwa nafasi hiyo ili asimamie mageuzi ya Umoja huo ili taasisi hiyo iweze kujitegemea kifedha kutoka kwa nchi wanachama. #AUSummit2018