Huduma ya kung'arisha Uume nchini Thailand





Hivi karibuni, kumezuka na gumzo kubwa mitandaoni juu ya huduma mpya ya kung'arisha uume huko nchini Thailand ambapo watu wengi wamekuwa wakijitokeza ili kupatiwa huduma hiyo. Nini maoni yako juu ya suala hili??? Ungependa na wewe kung'arishwa uume wako??? Toa comment yako hapo chini mdau wangu

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post