Diamond ashiriki kwenye mazishi ya shabiki yake

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz  leo ameshiriki mazishi ya kijana kutoka Team WCB.

Diamond akiambatana na baadhi ya watu wake wa karibu ameshiriki mazishi ya kijana Philly Nevvo maarufu kama Philly_nevvo_msafi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Siku chache zilizopita mashabiki hao wa damu wa WCB walipata ajali ya gari maeneo ya Chalinze wakati wakiwa wanatokea Mkoani Morogoro kurudi Dar es Salaam.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post