Diamond Platnumz Azungumzia Ukweli Kuhusu Mimba ya Mrembo Tunda...Afunguka Ukweli Wote
HATIMAYE msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa Bongo, Tunda.
Akifanya mahojiano maalum Diamond amekanusha kumpachika mimba staa huyo na kudai kuwa hajawahi hata kutebea naye wala kuwa na mahusiano naye.
“Sio kila mwanamke mzuri ninatembea nae mimi tu, sijawahi kuwa na mahusiano na Tunda,” alisema Diamond.
Tags
Udaku