"Sijawahi muona Baba yangu mzazi"-Kala Jeremiah



Ni headline kutoka kwa msanii wa Bongofleva Kala Jeremiah ambaye leo December 23, 2017 alikuwa mkoani Mbeya kwa ajili ya kutoa elimu ya kujitambua kwa vijana pamoja na burudani, inawezekana kabisa wewe ni miongoni mwa watu wengi wanaomfahamu Kala kwa juu juu tu bila kuijua historia yake vizuri lakini leo aliamua kuweka wazi historia yak e fui kwa watu wake ikiwemo kutowahi muona baba yake mzazi tangu kuzaliwa kwake. 
Full video nimekuwekea hapa chini tayari

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post