Njombe yaongoza kwa maambukizi ya UKIMWI

Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu yataja mkoa wa Njombe kuongoza kwa watu wanaoishi na VVU(11.4%) huku Zanzibar wakiwa na maambukizi chini ya 1%

- Maambukizi Dar yamepungua hadi kufikia 4.7% ikimaanisha watu 133,971 wanaishi na VVU

Zaidi, soma ~ http://bit.ly/2no7FNM

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post