Mbunge wa Arusha mjini, Nassari Joshua avamiwa na Majambazi usiku wa kuamkia leo



Kutoka katika Akaunti yake ya Twitta inasema kuwa Mh Nassari Joshua amevamiwa na watu waliekuwa na silaha za moto, na wao baada ya kuwagundua waliamua kukimbilia kituo cha polisi yeye pamoja na mkewe ili kuokoa maisha yao.


Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post