NGORONGORO: Makada wengine 3 wahamia CCM kutoka CHADEMA

Aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA Wilaya Ngorongoro, Samweli Ole Nakumbale, aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo mwaka 2015, Elias Ngorisa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Wilaya ya Ngorongoro, Wiliam ole Telele na wanachama wengine wa CHADEMA watimkia CCM.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post