KIKWETE: Hakuna shule ya kusomea Urais

Kikwete : Bahati mbaya kazi ya Uenyekiti na Urais haina shule kusema utakwenda kusoma, ila kazi hii unasomea humo humo ndani, ila kama akili yako si nzuri hapo ndiyo inaweza kukushinda #MkutanoMkuuCCM

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post